


X8 Mini Battery IP Camera (Wi-Fi)
TSh 70,000
#B5335
Maelezo
X8 Mini Battery IP Camera (Wi-Fi) Kamera ndogo lakini yenye uwezo mkubwa wa ulinzi kwa nyumba, ofisi au duka. Sifa Kuu: ✅ Inaunganishwa na Wi-Fi (uone live kupitia simu) ✅ Battery powered – haina waya ✅ Ubora wa video (HD) ✅ Night Vision – huona hata gizani ✅ Motion Detection – inarekodi ikihisi mwendo ✅ Inafanya kazi na Android & iPhone ✅ Ina magnetic stand rahisi kufunga
au