WRIST SUPPORT – Kinga ya Kifundo cha Mkono
TSh 23,000
#H3469
Maelezo
Unasumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mkono au unafanya kazi/mazoezi yanayohitaji nguvu ya mkono? Hii Wrist Support ni suluhisho rahisi na imara kwa matumizi ya kila siku. ✨ Faida zake: ✔️ Hupunguza maumivu ya kifundo cha mkono ✔️ Hutoa msaada na uthabiti wakati wa kazi, mazoezi au michezo ✔️ Adjustable strap – inatoshea mkono wowote ✔️ Nyepesi, laini na haina joto ✔️ Inafaa kwa wanaume na wanawake 🖐️ Jinsi ya kutumia: 1️⃣ Vaa wrist support kwenye kifundo cha mkono 2️⃣ Funga strap taratibu hadi ikae vizuri (isiwe kali sana) 3️⃣ Vaeni wakati wa kazi, kutumia simu/kompyuta, au mazoezi 4️⃣ Toa baada ya matumizi ili kuupa mkono mapumziko
au