Uzuri na Nguvu ya Mwanamke by Nestory Elias
TSh 11,000
Maelezo
ni mwalimu, mzunguzaji, mhamasishaji na mwandishi wa maswala mbalimbali yanayohusu maisha. Ni kiongozi mwenye msukumo wa kuleta mabadiliko chanya kwenye fikra za watu kwa ajili ya ustawi wao na jamii kwa ujumla. Kwa sasa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu (2021/2022) katika Chuo Kikuu cha Dodoma akisomea shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu (MD). Pia ni mwanzilishi wa jukwaa na taasisi ya "Great Mind for changes" yenye lengo la kuelimisha na kuwasaidia watu kufikia mono na ndoto katika maisha yao. Baadhi ya mambo ya msingi utakayojifunza katika kitabu hiki ni haya hapa; Uzuri wa mwanamke Nguvu 6 za mwanamke Maono ya mwanamke Wanawake mashuhuri, na Maadui wa nguvu ya Mwanamke Maisha Yako Yatabadilika Kabisa Ukimaliza Kujisomea hiki kitabu,