Unrefined Batana Oil 100% For Hair Growth 118m

TShΒ 58,000

#B0103

Maelezo

PATA NYWELE NENE, NDEFU NA ZENYE AFYA! Tumia Batana Oil – siri ya nywele nzuri kwa asili! πŸ’š Huchochea ukuaji wa nywele haraka πŸ’š Hufanya nywele kuwa nene na zenye nguvu πŸ’š Hupunguza kukatika kwa nywele πŸ’š Hurudisha uang’avu na unyevu πŸ’š Husaidia kuondoa mba 🧴 Matumizi: Chukua kiasi kidogo cha mafuta Pakaa kwenye kichwa (scalp) na nywele Fanya massage taratibu kwa dakika 5–10 Acha kwa saa 1–2 au usiku mzima Osha kwa shampoo ⏱️ Tumia mara 2–3 kwa wiki kwa matokeo mazuri

au

Bidhaa Zinazofanana