Spinning bike 150kg
TSh 690,000
#B7416
Maelezo
This Spinning bike can be used for all cardio exercises will greatly help you in body reduction exercises, gaining strength, building stamina, improving your breath, It will also help you track the amount of fat burned, your heart rate, the relevant distance you've covered, and the duration of your workout Maximum weight; 120kg Hii Baiskeli ni nzuri kwa ajili ya mazoezi yote ya cardio, itakusaidia kiasi kikubwa kufanya mazoezi ya kupunguza mwili, kupata nguvu, kuupa mwili stamina , kukupa pumzi. Na pia Itakusaidia kusoma kiasi cha mafuta ulichochoma, mapigo yako ya moyo ,umbali husika uliotembea na muda wake. Inabeba uzito hadi kilo 120.
au