SOKANY Gas Stove

TSh 110,000

#B5544

Maelezo

SOKANY GAS STOVE SK-07003 🔥 Fanya mapishi yako yawe rahisi, ya haraka, na ya kuvutia kwa kutumia jiko hili bora! ✔️ Sifa ya jiko letu : 1️⃣ Multi-Function: Linalofaa kwa mapishi mbalimbali. 2️⃣ Plate 3 za Moto: Kwa kupika vyakula vingi kwa wakati mmoja. 3️⃣ High Power (5.4kW): Moto mkali kwa mapishi ya kiwango cha juu. ⚡ Manufaa ya Jiko letu : • Halitumii Gas Nyingi: Huweka gharama zako chini. • Lipo na Mfuniko: Hulinda ukuta wako dhidi ya uchafu na kulifunika kwa usafi.

au

Bidhaa Zinazofanana