REKI-MASHINE YA KUKAMUA JUISI TARATIBU J2-300

TSh 205,000

#B3710

Maelezo

Mashine ya kukamua juisi taratibu (Slow Juicer) ya REKI J2-300 ni kifaa cha kisasa kilichoundwa kwa ajili ya kukamua juisi kwa kutumia teknolojia ya Cold Press (Masticating Technology), mashine hii inafanya kazi taratibu ili kulinda ubora wa matunda na mboga mboga.

au

Bidhaa Zinazofanana