PMC SUPER HEAVY DUTY BLENDER – 2.0L

TSh 115,000

#B0032

Maelezo

PMC Super Heavy Duty Blender – PMC200 (2.0L) ni blender yenye nguvu kubwa (commercial-grade) iliyoundwa mahususi kwa kazi nzito za nyumbani na biashara ndogo ndogo kama vile mama lishe au vijiwe vya juisi. Inasifika kwa uwezo wake mkubwa wa kusaga vitu vigumu kwa haraka bila kuchemsha motor.

au

Bidhaa Zinazofanana