PF-45 18 Inch Professional LED Photography Fill Light Studio Video Light
TSh 150,000
Maelezo
PF-45 LED Photography Fill Light ni lighting ya professional iliyotengenezwa kwa photography, videography na content creation. Ni chaguo zuri kwa studio, product photography, portrait photography, makeup, YouTube, TikTok, livestreaming na interviews. Ina round 18-inch light panel inayotoa mwanga mpana na unaosaidia kupunguza shadows na kuifanya subject ionekane vizuri. Brightness na colour temperature zinaweza kurekebishwa kulingana na mazingira ya shooting na aina ya content unayotengeneza. Ina stand mounting system kwa ajili ya positioning rahisi na unaweza kubadilisha angle ya mwanga kulingana na unavyohitaji. Inafaa kwa photographers, videographers, makeup artists, content creators, online sellers na studios. Available Tanzania kupitia Empire Tronix. Tunapeleka bidhaa Dar es Salaam na mikoa mbalimbali Tanzania.