Oxford Kiswahili Kwa Shule za Sekondari Kidato cha 4

TSh 17,000

#B7384

Maelezo

Kiswahili shule za sekondari, kidato cha nne kimeandaliwa kwa mujibu wa muhtasari mpya wa mwaka 2005 wa somo la kiswahili kwa shule z sekondari, Tanzania. Kitabu hili kimezingatia sana mahitaji ya wanafunzi darasani na ya taifa kwa ujumla Katika kitabu hiki, wanafunzi watapata nafasi ya kuzielewa kwa kina mada zote za lugha ya kiswahili kwa kidato hiki ambazo ni: 1. Mawasiliano 2. Aina za maneno. 3. Fasihi kwa ujumla 4. Fasihi simulizi 5. Usimulizi 6. Uandishi wa insha 7. Uandishi wa barua 8. Ufahamu

au

Bidhaa Zinazofanana