Nguzo Mama by Penina Muhando

TSh 9,000

#B1011

Maelezo

Condition: Brand New Book Type: Paper Back Book Genre: Drama Book Details Nguzo Mama ni tamthiliya inayozungumzia changamoto zinazowakabili wanawake kwenye jamii ambazo zimekuwa minyororo inayowazuia ku¬kia kilele cha ukombozi wao. Tunaona nguzo kubwa, nzito imelala chini. Inatakiwa kunyanyuliwa ili isimame wima. Akina mama wengi wanajaribu kuinyanyua, lakini kila wanapoanza, linatokea hili au lile. Hatimaye mmoja baada ya mwingine wanatelekeza jukumu hilo. Je, nini kifanyike ili nguzo hii inyanyuke? Katika tamthiliya hii, mwandishi ametumia fani ya fasihi simulizi, si tu ku¬kisha ujumbe, bali pia ameufanya mchezo kuwa wa kuvutia na kusisimua.

au

Bidhaa Zinazofanana