Mkurungu Wood Bed 5Ft x 6Ft,

TSh 900,000

#H8879

Maelezo

5Ft x 6Ft, Bed made of natural wood (Mkurungu). This bed has been only been applied with clear and varnish to increase its lustrous property. This type of wood is also characterized with hardness, long ever lasting bed lastly can withstand more weighing without affecting the bed joints. The Delivery will be made 15 days after due payment. [Bidha hii itaagizwa siku 15 baada ya malipo ya mwisho kukamilika] [Kitanda cha Futi 5 kwa 6 kilichotengenezwa na mbao asilia aina ya Mkurungu, kitanda hiko hupakwa vanishi tu ili kuongeza sifa yake ya ung'avu. Kitanda hiki pia kinasifa kuu ya ugumu na kudumu kwa muda mrefu kuliko kawaida na mwisho kabisa huweza kubeba uzito mkubwa pasipo kutetereka kwa joints zake] Kitanda hiki kitaagizwa siku 15 baada ya malipo ya mwisho.

au

Bidhaa Zinazofanana