Malenga Wapya by T J.Zanzabar
TSh 10,000
#B6293
Maelezo
Condition: Brand New Book Type: Paper Back Book Details Malenga Mapya ni diwani yenye mkusanyiko wa mashairi yapatayo thelathini na saba (37) yaliyoandikwa na washairi wapya(malenga wapya). Washairi hawa ni wanafunzi wa Taasisi ya Kiswahili na Lugha za Kigeni huko Zanzibar. Katika diwani hii ,washairi wamejadili masuala mbalimbali yanayotokea katika jamii. Baadhi yake ni masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k.Washairi hawa wamejadili masuala ya msingi katika kujenga jamii mpya na kama yatazingatiwa mabadiliko chanya yatatokea kwenye jamii.
au