Kiswahili Kidato cha Tano

TSh 21,000

#B8640

Maelezo

Kitabu hiki cha "Kiswahili, Shule za Sekondari, Kidato cha Tano" ni mahususi kwa ajili ya walimu na wanafunzi wa Kidato cha Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kitabu hiki kimeandaliwa ili kutoa mchango madhubuti kwenye vitabu vya kiada vya shule za sekondan, pamoja na vyuo vya ualimu nchini Tanzania. Maudhui ya kitabu hiki yamewasilishwa kwa njia ya nukuu, matini, na shughuli za kufanya ambazo zinachochea kujenga umahiri uliokusudiwa kwa kila mada.

au

Bidhaa Zinazofanana