Kiswahili Kidato cha Nne

TSh 12,000

#B8573

Maelezo

Kitabu hiki cha "Kiswahili, Shule za Sekondari, Kidato cha Nne" ni mahususi kwa ajili ya walimu na wanafunzi wa Kidato cha Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kitabu hiki kimeandaliwa ili kutoa mchango madhubuti kwenye vitabu vya kiada vya shule za sekondari nchini Tanzania. Maudhui ya kitabu hiki yamewasilishwa kwa njia ya nukuu, matini, na kazi za kufanya au mazoezi ambayo yanachochea kujenga umahiri uliokusudiwa kwa kila mada.

au

Bidhaa Zinazofanana