Kilemba cha Dhahabu
TSh 10,000
#B4187
Maelezo
Kuhusu Kitabu Andiko hili Pevu na la aina yake linawalenga wasomaji wa rika na jinsi zote. Ni chapisho linalolenga kuchipusha fikra za kimapinduzi na kuchochea mabadiliko ya kimtazamo ili kila mmoja ajue nafasi na wajibu wake na namna anavyomtafsiri na kumtendea mwanamke mjane katika jamii yake. Kwa maneno rahisi kilemba cha Dhahabu Tafsiri Mpya ya Mjane ni kitabu cha utu na wajibu wa kijamii wa kila mmoja ambaye anatambua thamani ya upendo na heshima anayostahili kila mwanadamu. Ni andiko linalompa mjane utayari wa kukubali kufarijika ili aweze kuirejea nafasi yake kama muhusika muhimu katika ujenzi wa jamii na taifa la Mungu kwa Ujumla.
au