




Infinjx Hot 60i 128GB RAM 12GB
TSh 340,000
#B2379
Maelezo
Hii simu ina ukubwa wa GB 128 na RAM ya GB 12 Ndio infinix hot 60 yenye bei ndogo zaidi kati ya zilizotoka mwaka 2025 hot60i Sifa yake kubwa ni kwamba bei yake ni rahisi ila inakupa mifumo mingi ya AI kama ilivyo kwenye simu za Infinix Note 50 Pia chaji inapeleka umeme mwingi wa wati 45 Na pia ina ulinzi wa waterproof aina ya IP64
au