




Infinix hot 60Pro 128GB RAM16gb
TSh 470,000
#B1739
Maelezo
Hii ni infinix yenye ukubwa wa RAM GB 16 na ukubwa wa GB 128 infinix hot 60 pro Sifa kubwa nzuri za hii simu ina kioo cha amoled chenye refresh rate inayofika 144Hz Ina ulinzi wa kioo aina ya Corning Gorilla glass 7i(maana yake haivunjiki kwa haraka) Sifa nyingine kuu ya hii simu ni nyembamba sana🔥🔥🔥 Pia betri kubwa ya mAh 5160 na chaji ya wati 45 na uwezo wa kuchaji vifaa vingine kwa umeme wa wati 10
au