Hekaya za Abunuasi na Hadithi Nyingine by Broomfield
TSh 15,000
#B9023
Maelezo
Condition: Brand New Book Type: Paper Back Book Genre: Short stories Book Details Hekaya za Abunuwas na Hadithi Nyingine ni mkusanyo wa hadithi za kusisimua. Hadithi zilizomo zimesimuliwa kwa ucheshi wa hali ya juu. Hadithi hizi vilevile zina mafunzo muhimu ambayo yatamwongezea maarifa msomaji. Maadili yametukuzwa huku ujinga na maovu yakitwezwa. Yeyote anayependa kusoma hadithi za Kiswahili atafurahia kuwa na nakala ya kitabu hiki.
au