Chungu Tamu by Theobald A. Mvungi

TSh 8,000

#B2161

Maelezo

Condition: Brand New Book Type: Paper Back Book Genre: Swahili Poetry Book Details Chungu Tamu ni mashairi yanayo imulika jamii na kuichunguza kwa makini. Mashairi haya ni fasihi changanuzi yanaikosoa jamii yetu na kutoa mapendekezo mwaafaka dhidi ya mapungufu yaliyopo ambayo mwandishi anaamini kuwa iwapo yatazingatiwa, wananchi wataondokana na uchungu na kuonja utamu ambai malengo yao na ya viongozi waaminifu.

au

Bidhaa Zinazofanana