ANKLE SUPPORT Adjustable Ankle Brace 1pc

TShΒ 27,000

#H0013

Maelezo

ANKLE SUPPORT Adjustable Ankle Brace 1pc πŸ’ͺ Kinga na msaada imara wa kifundo cha mguu 🦢 Inafaa mguu wa kulia au kushoto 🎯 Inabana kulingana na hitaji (Adjustable) Inasaidia kwa: βœ… Maumivu ya kifundo cha mguu βœ… Sprain / kuumia ghafla βœ… Kuzuia kuumia tena βœ… Michezo, kazi nzito & kutembea muda mrefu Faida zake: βœ” Hutoa uthabiti (stability) βœ” Compression nzuri bila kubana sana βœ” Nyepesi – inavaa hata ndani ya kiatu βœ” Rahisi kuvaa na kuvua Jinsi ya kutumia: Vaa kwenye kifundo cha mguu kisha funga mikanda kwa kuvuka (X) na rekebisha mkazo kulingana na unavyohitaji.

au

Bidhaa Zinazofanana