Orodha Steve Reynolds

TZS 9,000

#B4318

Description

Condition: Brand New Book Type: Paper Back Book Genre: Play Book Details Orodha ni tamthiliya inayohusu suala zima la ugonjwa wa UKIMWI na madhara yake katika jamii. Mwandishi anaweka wazi kuhusu gonjwa hili. Mhusika mkuu Furaha anaathirika na gonjwa hili na kufariki dunia. Mwandishi ameonesha jinsi maambukizi ya UKIMWI yanavyoweza kutokea katika jamii. Kupitia mhusika Furaha, Bwana Ecko, Padri James, Kitunda na Salim mwandishi anaonesha jinsi gonjwa hili hatari linavyoweza kuathiri jamii nzima kwa muda mfupi.

or

Similar Products