Namna Ya Kuanza Kuuza Ujuzi Upwork by Baraka Mafole

TZS 20,000

#B3221

Description

Mwandishi / Author: Baraka Mafole Kitabu Hiki ni kwa ajili ya watu wanaoanza Career Zao kwenye Kuuza Stadi zao Kwenye Majukwaa ya Kidijitali . Hapa utajifunza namna gani unaweza kuingiza kipato kwa kupitia jukwaa la Upwork .Kitabu hiki kinakuja na QR Code ndani ambayo utatakiwa Uiscan ili uwe sehemu ya Community .Community itakuwezesha kupata webinar ,Mentorship ,mafunzo ya mtandaoni pamoja na Physicall ili uweze kuimarika kwenye safari yako ya kuuza Ujuzi Mtandaoni .

or

Similar Products