Mooyam Hyaluronic Acid Retinol Serum 30ml

TZS 37,000

#B1231

Description

Pata ngozi laini, yenye kung’aa na yenye muonekano wa ujana kwa kutumia serum hii ya kisasa 💧 Faida zake kuu: ✅ Hupunguza mikunjo na mistari ya uzee ✅ Husaidia kuboresha texture ya ngozi ✅ Hufanya ngozi iwe laini na yenye unyevu (hydration) ✅ Husaidia kupunguza chunusi na makovu yake ✅ Huchochea uzalishaji wa collagen Viambato Muhimu: 🔹 Retinol – kupambana na aging 🔹 Vitamin E – kulinda ngozi 🔹 Hyaluronic Acid – kuongeza unyevu Jinsi ya kutumia: ✔️ Tumia usiku kabla ya kulala ✔️ Pakaa matone machache usoni na kusambaza taratibu ✔️ Tumia moisturizer baada yake ✔️ Asubuhi tumia sunscreen (muhimu sana)

or

Similar Products