Malkia Bibi Titi Mohamed by Emmanuel Mbogo

TZS 11,000

#B5772

Description

Condition: Brand New Book Type: Paper Back Book Details Tamthilia hii inahusu Bibi Titi Mohamed. Titi alikuwa kiongozi shupavu aliyeupipgania uhuru wa Tanganyika kwa ujasiri mkubwa akiwa mwanachama wa TANU na kiongozi wa Umoja wa Wanawake. Wakati wanaume wengi walipokuwa wakiogopa kukata kadi za TANU, wakhofia kufukuzwa kazi na mkoloni, Titi aliwahamasisha wanawake kote nchini kuupigania uhuru wa Tanganyika

or

Similar Products