Notifications
Kitanda [Bed] Mkurungu
TZS 1,627,000
#H4822
Description
Kitanda cha 5Ft x 6Ft kimetengenezwa kwa mbao aina ya Mkurungu kwa kupakwa varbish tu kikiwa na Bedsides zake mbili. Kitanda hiki kinakuwa na chaga mfumo wa pallets ambazo zinaanzia juu kabisa ya sides za pembeni. Hiki kitanda ni mahususi kwa wapenzi wa magodoro ya kuanzia inchi 10-inch 12
or