Notifications



Kiswahili 1 - Kidato cha 5&6
TZS 21,000
#B8608
Description
Kitabu hiki cha "Kiswahill, Shule za Sekondari, Kidato cha 5 na 6" ni mahususi kwa ajili ya walimu na wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kitabu hiki kimeandaliwa ili kutoa mchango madhubuti kwenye vitabu vya kiada vya shule za sekondari, pamoja na vyuo vya ualimu nchini Tanzania. Maudhui ya kitabu hiki yamewasilishwa kwa njia ya nukuu, matini, na kazi za kufanya au mazoezi ambayo yanachochea kujenga umahiri uliokusudiwa kwa kila mada.
or
