Notifications
Hold Your Vision By Nestory Gwanko
TZS 12,000
#B4730
Description
NESTORY Z ELIAS ni mwalimu, mzunguzaji, mhamasishaji na mwandishi wa maswala mbalimbali yanayohusu maisha. Ni kiongozi mwenye msukumo wa kuleta mabadiliko chanya kwenye fikra za watu kwa ajili ya ustawi wao na jamii kwa ujumla. Kwa sasa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu (2021/2022) katika Chuo Kikuu cha Dodoma akisomea shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu (MD). Pia ni mwanzilishi wa jukwaa na taasisi ya "Great Mind for changes" yenye lengo la kuelimisha na kuwasaidia watu kufikia mono na ndoto katika maisha yao.
or